Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

TATIZO LA MIFUPA NA MAUNGIO TIBA IPO

Jan 17th, 2023 at 16:24   Beauty & Health   Arusha   22 views

-- TSh

  • tatizo-la-mifupa-na-maungio-tiba-ipo-big-0
  • tatizo-la-mifupa-na-maungio-tiba-ipo-big-1
  • tatizo-la-mifupa-na-maungio-tiba-ipo-big-2
Location: Arusha
Price: -- TSh

TATIZO LA MIFUPA AU KUUMWA MIGUU/MAGOTI (OSTEOPOROSIS) Tatizo hili hujulikana kwa jina la kitaalamu kama Osteoporosis. Ugonjwa huu unatokana na kupunguka kwa protini na madini kwenye mifupa (madini chokaa/calcium). Hali hii hupelekea mifupa kuwa milaini na myepesi ambapo inaweza kuvunjika kirahisi. Mtu mwenye tatizo hili huweza kupungua urefu, huweza kupata maumivu makali na kubalilika katika ukaaji au utembeaji wake. Ugonjwa huu huweza kusababisha ulemavu wa kudumu. VISABABISHI Mtu hupata ugonjwa huu kutokana na: kuwa na umbo dogo au kuwa mwembamba kuzaliwa katika familia yenye historia ya ugonjwa huu kuwa amekoma hedhi na hasa anapokoma hedhi mapema mno mwanamke mwenye matatizo ya kupata siku zake matumizi ya madawa hasa yale ya kutibu asthma, matatizo ya thyroid n.k. kukosa madini ya kutosha ya aina ya calcium katika mlo kutokufanya mazoezi ya mwili kuvuta sigara kutumia pombe kwa wingi Ugonjwa huu huendelea kukua taratibi bila kuonyesha dalili zo zote hadi mgonjwa atakapovunjika mfupa. MATIBABU YA MAUMIVU YA MIFUPA (OSTEOPOROSIS) Mazoezi hasa kipindi ambacho umri umepiga hatua Kwa wale wenye uzito uliozidi, jitahidini kufanya utaratibu wa kupunguza Jitahidi kupata madini chokaa (calcium) kwa wingi (maziwa freshi, maziwa mgando, mboga za majani) Jitahidi kupata Vitamini D (mayai, maziwa, samaki, mboga za majani, pata jua) Kwa waathirika wa matatizo ya mifupa, pingili za mgongo (disk), na mengine tajwa kwenye mada, TIBA ipo. Virutubisho vyenye madini na vitamin za uhakika kwa ujenzi wa mifupa vipo.