Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Jul 18th, 2021 at 07:58   Beauty & Health   Arusha   213 views

55,000 TSh

  • tatizo-la-upungufu-wa-nguvu-za-kiume-big-0
Location: Arusha
Price: 55,000 TSh

?TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?

 Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka,

  tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri.

Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na; ?

Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo ?

Kuvuta sigara na unywaji wa pombe ?

Uzito kupita kiasi na unene uliozidi ?

Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

?Kisukari ?

Kuwa na mawazo na wasiwasi ?

Matumizi ya madawa kwa muda mrefu mf. Viagra, ?

Umri hasa wazee ?

Kuwa na tatizo la kibofu ?

Tabia za kujichua kwa mda mrefu ?

Kutopata usingizi kamili ?

Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa,

vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine ?

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?

Dalili za kuonesha kuwa una tatizo la upungufu wa nguvu za kiume karibia zote zinahusiana na hali itakayo onekana katika tendo la ndoa au mda wa kujamiiana, hizo dalili zake ni kama; ?

Kuwahi kufika kileleni ?Kukosa hamu ya mapenzi ?

Kushindwa kurudia tendo la ndoa ?

Uume kusimama kwa ulegevu ?Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata ?

kukinai kabisa ?

Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo ?

Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa) ?

Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji ?

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME? ?

Fanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi ?

Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi ?Balance uzito wako ?

Usivute sigara ?

Punguza au acha kunywa pombe ?

Punguza mawazo ?

Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali ?

Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9 ?Usitumie dawa zenye kemikali nyingi huathiri mfumo wa uzazi ?

Kunywa maji ya kutosha ?

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME?

Hili ni tatizo ambalo huwanyima raha watu wengi kwasababu linaashiria upungufu flani wa kimwili, tunawashauri watu wengi wafanye mazoezi,

kula chakula bora hasa asilia na pia wanywe maji mengi ili kuimarisha afya zao.

Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linaondolewa.

Kuna virutubisho ambacho ningekushauri ukitafute ili kuweza kutatu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. ?

Xpower coffee ,Prostate na Zamino  vipo virutubisho vingi na zipo original na copy hivyo ni vyema uka save namba ili kushauriana

Tunapatikana

Arusha

Dodoma

Mbeya

Morogoro

Dar es salaam

Mwanza na nk