Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

TEZI DUME NI NINI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE BILA UPASUAJI

Apr 27th, 2022 at 22:24   Beauty & Health   Arusha   221 views

-- TSh

  • tezi-dume-ni-nini-dalili-madhara-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-0
  • tezi-dume-ni-nini-dalili-madhara-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-1
  • tezi-dume-ni-nini-dalili-madhara-na-tiba-yake-bila-upasuaji-big-2
Location: Arusha
Price: -- TSh

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA NJIA SAHIHI YA KUEPUKANA NAYO.

Kila mwanaume anazaliwa na Tezi ya kiume. Tezi dume siyo ugonjwa bali ni kiungo kama viungo vingine mwilini tezi dume inapatikana katika mfumo wa uzazi wa mwanaume katika shingo ya kibofu cha mkojo. Kazi yake kubwa nikutengeneza majimaji ya uzazi wa mwanaume (shahawa), ambayo husaidia kurutubisha mbegu za kiume zilizo tengenezwa kutoka kwenye Korodani; na husaidia mbegu za kiume kubaki hai kwa muda unaostahili. Tatizo linakuja kiungo hiki kinapoanza kutanuka. Kiungo hiki kinatanuka taratibu taratibu mnoo. Hili ni tatizo linalo wakumba wanaume wengi. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

UKUAJI WA TEZI DUME.

Ukuwaji wa Tezi dume ni ile hali ya chembe chembe hai katika tezi ya kiume kukua bila kufuata utaratibu wa mfumo wa mwili katika eneo linalo zunguka mirija ya kupitisha mkojo na mbegu za kiume. Tatizo hili kwa sasa linawapata wanaume kuanzia umri wa miaka 40 na kuendelea, tofauti na awali lilikuwa miaka zaidi ya 50. Takwimu zinaonesha kwamba kati ya wanaume 10, wa 5 na kuendelea wana dalili za kutanuka kwa Tezi dume.

VYANZO VINAVYOPELEKEA TEZI DUME KUTANUKA

Tatizo la kutanuka kwa tezi dume limekuwa kwa kasi sana hii ni kutokana na mitindo ya maisha wanaume wengi wanayoishi. Pia na elimu ndogo iliyoko kwenye jami kuhusu afya bora na Virutubisho.

Vifuatavyo ni vyanzo vya kutanuka kwa tezi dume:

️Ukosefu wa lishe kamili na upungufu wa Virutubisho muhimu mwilini

️Uwepo wa sumu nyingi na mafuta mengi mwilini hasa katika mishipa na ogani za uzazi

️Kutokufanya mazoezi

️Matumizi ya pombe kali, na uvutaji wa sigara

️Uzito mkubwa (uliopindukia, uliokithiri), na Kitambi

️Kutokukaa sawa kwa vichocheo vya mwili (Hormone Imbalance)

️Msongo wa mawazo (Stress)

️Magonjwa ya zinaa

️Umri mkubwa

️Upasuwaji wa korodani,matatizo ya kimaumbile

️Historia ya Familia (Kurithi)

️Mazingira (Ethnicity)n.k Dalili za tezi dume a) Dalili za awali - Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu - Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu - Maumivu kwenye mfumo wa mkojo - Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa - Kuhisi kibofu kimeja mkojo muda wote na ukienda kukojoa mkojo hautoki, lakini ukirudi kukaa unahisi kukojoa tena. - Homa - Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku b)

DALILI ZA MTU ALIE ATHIRIKA

️Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu

️Miguu kuwa dhaifu

️ kumudu tendo la ndoa, au Kuhisi maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa

️Kushindwa kuzuia mkojo , pindi unapohisi kukojoa

️Kushindwa kuzuia haja kubwa (kinyesi cha maji maji)

️Tumbo kujaa gesi mara kwa mara MADHARA: Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka: -

️Kibofu cha mkojo kuuma : hivyo hupelekea mkojo kurudi juu, na kuharibu figo na Ini n.k.

- ️Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa -

️Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure) -

️Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika) -

️Ugumba (Infertility, Frigidity for men) -

️Kutokea kwa majipu sehemu ya Tezi Dume -

️Kifo Tiba na ushauri.

Tumia tiba lishe iliyothibitishwa na mamlaka za idara ya afya.epuka kubana mkojo muda mrefu,epuka vilevi,epuka kutotibu magonjwa ya njia mkojo nk. Wasiliana nasi kwa ushauri zaid juu ya tezi dume

#dalilizatezidume #ugonjwawatezidume #ugonjwawatezidume #madharayatezidume #tezidumeninini