Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Jan 25th, 2023 at 08:09   Beauty & Health   Arusha   13 views

200,000 TSh

  • tiba-ya-upungufu-wa-nguvu-za-kiume-big-0
Location: Arusha
Price: 200,000 TSh

MADHARA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA TIBA YAKE

 

  Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. 

 

Tatizo hili huripotiwa kuwa katika wanaume watano (5) basi mmoja kati yao anatatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

 

 Upungufu wa nguvu za kiume huashiria kuto kuwa sawa kiafya hivyo ni tatizo linalohitaji tiba.

 

CHANZO CHA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 

  Tatizo la nguvu za kiume lina vyanzo vingi ambavyo mara nyingi wengi huvipuuza, hivyo vyanzo huathiri taratibu na vingine huathiri haraka, tunashauri watu kuwa makini sana ili kujiimarisha vizuri. Kuna mitindo ya maisha inayoweza kukuweka hatarini kupata tatizo la nguvu za kiume nayo ni pamoja na;

 

1.Kuwa na halemu (Cholesterol) na Shinikizo la damu (B.P) au ugonjwa wa moyo

 

2.Kuvuta sigala na unywaji wa pombe

 

3.Uzito kupita kiasi na unene uliozidi

 

4.Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

 

5.Kisukari

 

6.Kuwa na mawazo na wasiwasi

 

7.Matumizi ya madawa mbalimbali yanayo ua misuli na mishipa

 

8.Umri hasa wazee

 

9.Tabia za kujichua kwa mda mrefu

 

DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 

1.Kuwahi kufika kileleni

 

2.Kukosa hamu ya mapenzi

 

3.Kushindwa kurudia tendo la ndoa

 

4.Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

 

5.Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata

 

 6.kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu;

 

 7.Maumivu mara au baada ya yendo la ndo

 

8.Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

 

9.Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

 

JINSI YA KUEPUKANA NA KUPATA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME

 

1.Kufanya mazoezi – Angalau dakika 30 kwa siku

 

2.Kula vyakula asilia na usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

 

3.Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine

 

4.Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi

 

5.Balansi usito wako

 

6.Usivute sigara Punguza au acha kunywa pombe

 

7.Punguza mawazo

 

8.Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali

 

9.Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

Usitumie dawa zenye kemikali huathiri mfumo wa uzazi

 

10.Kunywa maji ya kutosha

 

TIBA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

 

 Watu wengi wamekua wakibugia kila aina ya dawa inasemekana inatibu nguvu za kiume bila kujua chanzo na kufuata ushauri unao tolewaa na wataalam wa afya . 

 

Kama unaisi unaitaji ushauri zaidi juu ya changamoto hiyo unaweza kutuoigia pia zipo tiba za asili zinazoweza kukusaidia wasiliana nasi kwa ushauri na msaada zaid