Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

TUNATENGENEZA COMPUTER AINA ZOTE SOFTWARE PAMOJA NA HARDWARE

Aug 28th, 2022 at 23:48   Services   Mwanza   65 views

-- TSh

  • tunatengeneza-computer-aina-zote-software-pamoja-na-hardware-big-0
  • tunatengeneza-computer-aina-zote-software-pamoja-na-hardware-big-1
  • tunatengeneza-computer-aina-zote-software-pamoja-na-hardware-big-2
  • tunatengeneza-computer-aina-zote-software-pamoja-na-hardware-big-3
Location: Mwanza
Price: -- TSh Negotiable

karibuni sana kwa yeyote mwenye shida kaika vifaaa vifuatavyo:-

COMPUTER - Tunatengeneza na Kurekebisha sofware pia upande wa Hardware .

TV       - Tunaengeza Tv aina zote kuanzia Flat TV pamoja na Chongo za kizamani

SUBWOOFER- Tunatengeneza subwoofer aina zote pamoja na music sound aina zote

UMEME         - Tunafanya wirering pamoja na kusuka vifaaa vya umeme kulingana na mahiaji yako

CCTV CAMERA- Tunafunga cctv camera Aina zote yaaan DVR AND NVR officen na majumbani

NETWORKING - Tunafanya netwoking set-up pamoja na marekebisho .

             NYOTE MNAKARIBISHWA