UGONJWA WA FANGASI UKENI DALILI NA TIBA YAKE
Dec 31st, 2021 at 10:33 Beauty & Health Arusha 163 views
Location:
Arusha
Price:
-- TSh
UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI / SEHEMU ZA SIRI NA TIBA YAKE (Vaginal Thrush)
️ Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke
️.kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga
️.kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .
DALILI ZA FANGASI UKENI. kuna Dalili Nyingi Sana Kama Zifuatavyo;
~️vipele Vidogo Vidogo Ukeni ~
️kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya
~️vidonda Au Michubuko Ukeni ~
️kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni ~
️kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa ~
️kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke ~
️kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke