Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI / SEHEMU ZA SIRI. (Vaginal Thrush)

Aug 20th, 2021 at 11:40   Beauty & Health   Arusha   50 views

37,500 TSh

  • ugonjwa-wa-fangasi-za-ukeni-sehemu-za-siri-vaginal-thrush-big-0
Location: Arusha
Price: 37,500 TSh

UGONJWA WA FANGASI ZA UKENI / SEHEMU ZA SIRI. (Vaginal Thrush)

Ndugu Zangu Naomba Nielezee Kuhusu Mwanamke Na Uke,

kwa Maana Ya Uke Ni Kiungo Cha Uzazi Wa Mwanamke, Ambapo Ndani Yake Kuna Lactobacillus Bacteria Na Fangasi Wazuri Ambao Wako Katika Kiwango Kinacho Lingana/a Balanced Mix.

Bacteria Hawa Na Fangasi Hizi Husaidia Sana Kuulinda Uke Na Maradhi Mbalimbali Endapo Uwiano Wake Hauta Bughuziwa.

Lactobacillus Bakteria Hutoa Acid Ambazo Huzuia Fangasi Kukuwa Au Kuwa Wengi Zaidi. ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni Ni Ugonjwa Anaoupata Mwanamke Endapo Fangasi Watakuwa Wengi Zaidi Ya Bacteria Wazuri Waliopo Ukeni Au Kama Ph Ya Ukeni Imezidi Kiwango Cha Kawaida Kinachopaswa(Ph 3.5-4.5 Ndio Kiwango Kizuri Kiafya).

fangasi Za Ukeni Mara Nyingi Husababishwa Na Fangasi Waitwao Candida Albicans,

Lakini Wakati Mwingine Ni Aina Nyingine Za Fangasi Na Hizi Ni Vigumu Sana Kutibika vitu Vinavyoweza Kusababisha Ugonjwa Wa Fangasi Za Ukeni.

️.matatizo Ya Homoni(Homoni Za Kubadilika/kuwanyingi Sana Au Kushuka Sana) Hii Inaweza Kusahabishwa Na; Ukomo Wa Hedhi,ujauzito, (Mp)kuwa Katika Siku Za Mwezi, Matumizi Ya Dawa Za Kuongeza Kiwango Cha Hormon Za Kike

️ Matumizi Ya Antibiotics Hizi Huuwa Bacteria Wazuri Na Kubadiri Ph Ya Uke

️.kufanya Mapenzi Na Mtu Aliye Na Ugonjwa Wa Fangasi Za Sehemu Za Siri Bila Kinga

️.kushuka Kwa Kinga Ya Mwili Hii Inaweza Kusababishwa Na Magonjwa Mbalimbali Kama Ukimwi, Kisukari, Upungufu Wa Madini,vitamini Na Virutubishi Mbalimbali Vya Mwili.

️.ulaji Mbaya Hasa Kupendelea Vyakula Vyenye Sukari Kwa Wingi (Sukari Ni Chakula Kwa Fangas Hivyo Huongezeka).

️.kukosa Usingizi Na Msongo Wa Mawazo .

  DALILI ZA FANGASI UKENI.

kuna Dalili Nyingi Sana Kama Zifuatavyo;

~️muwasho Sehemu Za Siri

~️vipele Vidogo Vidogo Ukeni

~️kutokwa Uchafu Mweupe Au Wa Rangi Ya Kijivu Ukeni Wenye Harufu Mbaya

~️vidonda Au Michubuko Ukeni

~️kutokwa Na Harufu Mbaya Ukeni

~️kupatwa Na Maumivu Makali Wakati Wa Tendo La Ndoa

~️kuvimba Na Kuwa Mwekundu Katika Mdomo Wa Nje Wa Uke

~️kuwaka Moto Ndani Na Nje Ya Uke

MATIBABU NA USHAURI JINSI YA KUEPUKA TUPIGIE SIMU.

Tunapatikana

Arusha

Mwanza

Dodoma

Morogoro

Dar es salaam

Lindi

Kilimanjaro na nk