Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

UGONJWA WA KISUKARI DALILI NA TIBA YAKE

Feb 25th, 2022 at 19:28   Beauty & Health   Arusha   189 views

-- TSh

  • ugonjwa-wa-kisukari-dalili-na-tiba-yake-big-0
  • ugonjwa-wa-kisukari-dalili-na-tiba-yake-big-1
  • ugonjwa-wa-kisukari-dalili-na-tiba-yake-big-2
Location: Arusha
Price: -- TSh

*FAHAMU UGONJWA WA KISUKARI DALILI MADHARA NA TIBA SAHIHI BILA KUTUMIA MADAWA*

️Kisukari (jina la kigeni (''Diabetes Mellitus'') ni Ugonjwa unaoonyesha viwango vikubwa vya Glucose katika damu. Sababu yake ni uhaba wa homoni ya insulini mwilini au upungufu wa uwezo wa mwili kukubali insulini.

DALILI ZA KISUKARI

kukojoa kupita kiasi cha kawaida.

Kiuu

️kuona vibaya na matatizo ya macho hadi kuwa Kipofu

️Uchovu wa Mwili

️Vidonda vinavyopoa polepole mno hasa kwenye miguu hadi kupoteza viungo Watu wachache huzaliwa na uhaba wa insulini. Watu walio wengi wana udhaifu fulani unaokuwa hatari kutokana na aina za vyakula na maisha ya kila siku Kama ;-

Kutumia sukari nyingi pamoja mafuta mengi katika chakula na vinywaji.

Kukosa mazoezi ya mwili.

Kunywa pombe nyingi na kuvuta sigara. Ugonjwa wa kisukari ni mlolongo wa matatizo mwilini,ya mda mrefu na mfupi kutokana na upungufu au kutoweza kutumika vizuri kwa kichocheo kinachoitwa insulin. Insulin hutengenezwa na chembechembe zilizopo ndani ya kiungo cha kongosho. Miili yetu inahitaji insulin ili kuweza kutumia sukari tuliyonayo mwilini.

Sukari inatokana na chakula ambacho tunakula kila siku na hutumika kwa kutupa nguvu mwilini. Kwa kawaida sukari ikizidi, ya ziada inahifadhiwa katika ini kama mafuta. Mafuta haya hubadilishwa kuwa sukari na kutumika wakati tukiwa na njaa kwa mda mrefu. Endapo kuna matatizo ya kutengeneza au kutumika kwa insulin, sukari mwilini huongezeka haraka na inamaanisha ugonjwa wa Kisukari

VITU VINAVYOWEZA KUSABABI UGONJWA WA KISUKARI (risk factors)

️Unene uliozidi na kiribatumbo.

️Ulaji mbaya wa chakula

️Baadhi ya madawa

️Msongo wa mawazo

️Historia ya ugonjwa wa kisukari kwenye familia

️Kutofanya mazoezi

️Umri Mkubwa zaidi (kadri tunavyozeeka na kongosho zetu zinapungua uwezo wa kutoa insulin hivyo kusababisha kisukar

️Magonjwa yanayoharibu kongosho

️Akina mama wanaojifungua watoto wenye kilo nyingi zaidi Kupita kiasi (Mara nyingi hawa akina mama huwa na Ugonjwa wa kisukari ila hawagunduliki hadi mtoto anapozaliwa na kuonekana mkubwa Zaidi)

️Akina mama wenye historia ya kisukari wakati wa ujauzito

️Utumiaji uliozidia wa Pombe na uvutaji sigara

*DALILI ZA TATIZO LA KISUKARI

* ️· Kiu ya mara kwa mara

️· Kupungua uzito licha ya kula vizuri

️· Njaa kali na ya mara kwa mara

️· Jasho jingi Kupita kiasi

️· Uchovu usioeleweka hata bila kufanya kazi

️· Kizunguzungu

️· Macho kupungua uwezo wa kuona

️· Kidonda kisichopona haraka

️.Kupungua kwa nguvu za kiume kwa wanume

Tiba ya ugonjwa wa kisukari Tibu bila dawa- ukigundulika unatakiwa kula chakula dawa *{''Virutubisho Lishe''}* utakachoshauriwa na kufanya mazoezi ili kushusha sukari yako iwe ya kawaida. .

MATIBABU SAHIHI YA KISUKARI NI KUPATA TIBA TATU TU ambayo imefanya Vema kwa watu wengi na Kufanya Sukari zao Kuwa Normal kabisa na Wagonjwa wakiendelea Vema na Kuishi Maisha yasiyo na Mashaka kabisa*

*MADHARA YA TATIZO LA KISUKARI*

Endapo ugonjwa wa kisukari utapuuzwa au kutotibiwa inavyostahili madhara mengi yanaweza kujitokeza na yanatokana na kiwango cha sukari kuwa juu Zaidi Mwilini.

️Magonjwa ya Moyo{Pressure}.*

️Kiharusi/Kupooza{Stroke}.*

️Kupungua nguvu za kiume kwa kiwango kikubwa kwa wanaume*

️Kupata Shida ya INI Kwa Matumizi ya Dawa zenye kemikali Mda mrefu.*

️Figo kushindwa kufanya kazi Vema na kufa kabisa.*

️Kupofuka Macho*

️Kupata Vidonda visivyo pona na Kupoteza baadhi ya Viungo kwa Kukatwa.* *

Ni matumaini yangu wewe msomaji umenufaika na hili somo na pia utanufaisha familia na jamii iliokuzunguka

.* *Kama hujapata huu Ugonjwa ni muhimu kuepuka;-*

1).Unene uliozidi kwa kula lishe nzuri na ya kiasi.

2).Epuka pombe hasa Bia.

3).Msongo wa mawazo

4)Uvutaji wa sigara na la muhimu zaidi ni mazoezi ya viungo .

️Tunashauriwa kupima kila mara ili kujua Afya zetu na Ugonjwa wa kisukari Pima hata Mara kadhaa kila mwaka hivyo basi nenda mapema ili kuepuka madhara ya KISUKARI

Tumewasaidia wengi kwa ushauri na na lishe na wamepona kabisa