*UGONJWA WA NGIRI/HERNIA NA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME
Aug 18th, 2021 at 11:50 Beauty & Health Arusha 339 views*UGONJWA WA NGIRI/HERNIA NA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME*
Ugonjwa huu _mara_ kwa mara huwapata wanaume, ni ugonjwa ambao umesha wakumba wanaume wengi sana.
*DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI CHANGA*
1:Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.
4:Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.
5:Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.
6:Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.
7:Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.
8:Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.
9:Nuru ya macho hupotea taratibu.
10:Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.
11:Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.
12:Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na puru.
13:Maumivu makali ya mgongo au kiuno
14:Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto
15:Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi
16:Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia)
17: Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.
*JINSI UGONJWA WA NGIRI/HERNIA UNAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME
* Kama ngiri bado ni ndogo. Haiwezi kuathiri chochote katika nguvu za kiume.
Hata hivyo, hernia ambayo imeshakuwa kubwa inaweza kuathiri nguvu za kiume.
@Huathiri utendaji wa mishipa ya neva iliyo kwenye uume/korodani na hali ya homoni.
Ukosefu wa homoni ya testosterone inaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Njia pekee ya kukabiliana na tatizo hili ni kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe huo.
Lakini tatizo kama litakuwakwenye hatua za nwanzoni basi njia zifuatazo zitakusahidia.