Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

UGONJWA WA PUMU/ ASTHMA DALILI MADHARA NA TIBA

Dec 1st, 2022 at 22:23   Beauty & Health   Arusha   81 views

1 TSh

  • ugonjwa-wa-pumu-asthma-dalili-madhara-na-tiba-big-0
Location: Arusha
Price: 1 TSh

Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa upumuaji baada ya njia ya kupitishia hewa (bronchieal tube) kuvimba na kutengeneza Ute (mucus) ambayo kupelekea njia ya hewa kuwa ndogo, mgonjwa huanza kupata shida ya Kupumua, kukohoa, kutoa sauti Kama filimbi na wengine Kushindwa kuongea.

 

Asthma/Pumu huwapata Rika na jinsia zote wakubwa kwa Watoto.

Pumu haina chanzo mahususi (halisi), bali hufananishwa na kulinganishwa na mazingira flani.

Dalili za Pumu Mgonjwa wa pumu huonyesha dalili kadha wa kadha Kati ya hizo ni hizi zifatazo.

Kupata shida ya Kupumua

Kifua kubana na kifua kuuma Kukoh/kikohozi Kutoa sauti kama filimbi wakati wa kutoa hutoa hewa.

Kushindwa kulala/kupata shida wakati wa kulala kwa sababu ya Kushindwa Kupumua vizuri.

Wakati mwingine Pumu hutokea/huamshwa na mazingira flani ya nje au Hali ya hewa.

Shughuli katika mazingira flani - Baadhi ya watu hupata tatizo la Pumu kwa sababu ya kazi hujulikana Kama (exercises induced asthma) mfano wanaofanya mazingira yenye baridi sana, na hewa kavu.

Mzio (Aleji) - watu wengine huamsha Pumu kwa sababu ya mzio au Aleji (allergies induced asthma)) ya vitu mfano vumbi, Kazi - kundi lingine la watu wengine hupapata asthma kwa sababu ya kazi wanazo fanya (occupation asthma) mfano wakulima wanaopulizia dawa mashambani,viwanda vya gesi na kazi zinazohusisha vumbi, moshi Mazingira ambayo yanaweza kuamsha/kusababisha tatizo la Pumu ni pamoja. Chanzo Cha Pumu/Asthma Pumu haisababishwi na kitu kimoja huweza kusababishwa na vitu vingi, Mzio/Aleji ya vumbi,moshi, Kurithi kutoka kwenye familia ambayo ina watu au mtu mwenye Pumu.

Mazingira ya kazi mfano, kazi za kupulizia dawa shambani, viwandani Kama vya simenti, gesi, makaa,n.k Uvutaji wa sigara Kuwa na Uzito au unene kupita kiasi Msongo wa mawazo Kiungulia Cha muda mrefu VIPIMO Asthma/Pumu huweza kuonekana kwa dalili moja kwa moja lakini, baadhi ya vipimo hufanyika kutofautisha na Matatizo mengine yanyoendana na asthma.

Baadhi ya vipimo hivyo ni pamoja na…

Sperometry Allegly testing Imaging test eg. Chest x-ray na CT scan n.k

MATIBABU Pumu Ni ugonjwa wa kudumu na matibabu yake Ni changamoto mara nyingi kumfanya mhanga kutumia dawa hizo kwa muda wote wa ma