Login for faster access to the best deals. Click here if you don't have an account.

UJUE UGONJWA WA P.I.D DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Mar 21st, 2022 at 00:59   Beauty & Health   Arusha   53 views

-- TSh

  • ujue-ugonjwa-wa-pid-dalili-madhara-na-tiba-yake-big-0
Location: Arusha
Price: -- TSh

FAHAMU KUUSU P.I.D DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

#pelvicinflammatorydisease

Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:- .

Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono zembe.Kutoa au kuharbika kwa Ujauzito na nk .

DALILI ZA UGONJWA WA P.ID

1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa wenye harufu

2️⃣Kuwashwa sehemu za siri

3️⃣Uke kutoa harufu mbaya

4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu

5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana

6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa

7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi

8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi

9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa

Homa, uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula

MADHARA YA PID

•Ugumba

•Kansa ya shingo ya kizazi

•Mirija ya uzazi kuziba

•Majeraha kwenye mirija ya uzazi

MATIBABU

#PID inatibika na kupona Kwa haraka Kwa ushauri au tiba ya tatizo hili waweza Fika ofisini kwetu #P.I.D

Tunatoa huduma za ushauri kwa  maradhi ya mfumo wa uzazi wa mwanamke mana  yamekuwa Mengi ukiona unasumbuliwa na matatizo haya usisite kuwasiliana nasi

* Fungus sugu ukeni

* U.t.i mara kwa mara

* Tatizo la kutopata hedhi kwa wakati

* Maumivu wakati wa hedhi

* Vimbe kwenye kizazi

* Mirija ya uzazi kuziba

* Kutobeba ujauzito

* Kutokwa na uchafu na majimaji yenye harufu ukeni .. Wasiliana nasi upate ushauri zaidi