UJUE UGONJWA WA SUKARI ,DALILI, MADHARA NA TIBA
Jan 3rd, 2023 at 16:12 Beauty & Health Arusha 40 views
Location:
Arusha
Price:
1 TSh
*DIABETES TYPE 2* Aina hii ya sukari huwapata watu wazima umri kuanzia miaka 45.
️Ulevi hasa wa pombe kali ️Uvutaji wa sigara
️Matumizi ya madawa makali hasa antibiotic
️Ulaji mbovu hasa mafuta mengi na vyakula vya kiwandani vyenye kemikali
️Mdomo kuwa mkavu sana ️Matatizo ya ngozi na njia za mkojo
️Kiungulia na kichefu chefu kikali ️Kukojoa mara kwa mara
️Jasho sana hasa nyakati za usiku ️Kushindwa kujiamini
️Mkojo kunatanata na kufuatwa na sisimizi.
️Kukatwa baadhi ya viungo vilivyoathiriwa sana
NB: Sukari inatibika, kikubwa zingatia ni stage gani upo na upate tiba mapema
Kwa ushauri zaidi wasiliana nami nikushauri.